AyoTV

Huyu ndio Mwalubadu mtani mkuu wa Haji Manara na Simba mitandaoni

on

Moja kati ya wachekeshaji ambao wamejizolea umaarufu mkubwa ni King Mwalubadu ambaye amekuwa maarufu sana mitandaoni, hasa kwa tabia yake ya kupenda kuwacharura mashabiki wa Simba SC na afisa habari wao Haji Manara pale inapotokea Simba SC imefungwa.

Mwalubadu yeye ni shabiki mkubwa wa Yanga SC, hivyo kutokana na utani wa jadi wa timu hizo mbili, amekuwa akiwatania sana Simba SC, kwa sasa Mwalubadu makazi yake ni Norway anaishi huko akiwa na familia yake, AyoTV imeongea EXCLUSIVE na Mwalubadu.

Mwana FA kakutana na Jose Mourinho uso kwa uso, kamwambia yale maneno yake?

Soma na hizi

Tupia Comments