Videos

VideoMPYA: Pam D katuletea hii nyingine’Yeyo’

on

Ni msanii wa Bongo Fleva, PAM D time hii amekuletea video mpya ya single yae iitwayo Yeyo imeongozwa na director Kwetu Studio, unaweza ukaitazama hapo kisha usisahau kutuandikia comment yako ili mkali huyo akipita apate kuona ulichomuandikia.

Tupia Comments