Mix

Taarifa kuhusiana na mradi wa Liganga-Mchuchuma, uliotajwa kutengenza ajira 5000

on

Kampuni ya Sichuan Hongda Group kwa niaba ya Tanzania China International Mineral Resources Limited, leo November 26 2018 wametoa taarifa kwa umma kuhusiana mradi wa Liganga-Mchuchuma uliyokuwa umeripotiwa kuwa utatengeneza ajira rasmi 5000 za moja kwa moja na ajira 30,000 zisizo rasmi.

Sichuan ambao walishinda tenda ya kuufanya mradi wa Liganga uliyokuwa uwaniwa na kampuni za  kimataifa 48 tofauti tofauti, leo wametoa taarifa hii kwa umma kuhusiana na mradi huo.

Watanzania waishio Afrika Kusini wamejipanga kuelekea Lesotho leo

Soma na hizi

Tupia Comments