UEFA Champions League imeendelea usiku wa December 12 michezo mingi ya kukamilisha ratiba ikiechezwa, tayari timu zizofuzu kucheza 16 bora ya UEFA Champions League msimu wa 2018/19 zilikuwa zimeshajulikana toka jana na wengi walikuwa wanasubiria michezo ya kukamilisha ratiba.

Tumeshuhudia hatua ya makundi ya michuano hiyo ikimalizika kwa vilabu vya Inter Milan, Pizen, Galatassary, Benfica, Club Brugge, Valencia, Napoli na Shakhtar zikiishia kuangukia katika michuano ya UEFA Europa League.


MO Dewji alivyojitokeza Taifa kwa mara ya kwanza baada ya siku 49 toka atekwe