Michezo

Pigo kwa Liverpool MO Salah na Firmino wataikosa FC Barcelona

on

Baada ya kuwa na hati hati ya kukosekana kwa mshambuliaji wa kimataifa awa Misri na Club ya Liverpool Mohamed Salah pamoja na Roberto Firmino katika mchezo wa marudiano wa UEFA Champions League dhidi ya FC Barcelona katika uwanja wa Anfield.

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amethibitisha kuwa mastaa hao wataukosa mchezo huo wa marudiano dhidi ya FC Barcelona, kutokana na kuwa na majeruhi waliyoyapata katika michezo iliyopita , mchezo dhidi ya Barcelona watahitaji Liverpool ushindi wa zaidi ya 3-0 ili kuingia fainali kutokana na game ya kwanza kuruhusu kufungwa 3-0.

Mohammed Salah ataukosa mchezo huo kutokana na kuumia kichwa wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Newcastle wakati na bado hayupo fiti kucheza mchezo huo, wakati Firmino alipata majerha akiwa maezoezini kuelekea mchezo waliopata ushindi wa 5-0.

Kigezo kilichoichuja Yanga na kuipa Simba SC nafasi ya kucheza na Sevilla ya Hispania

Soma na hizi

Tupia Comments