Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

VIDEO: Shiboub kalipa kisasi cha Simba SC kwa Mashujaa Kigoma

on

Baada ya Simba SC kuondolewa na Mashujaa FC ya Kigoma katika michuano ya Kombe la Shirikisho December 26 2018 kwa kufungwa goli dakika za nyongeza katika kipigo cha 3-2 uwanja wa Taifa, leo Simba SC ilikuwa mkoani Kigoma kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Mashujaa FC katika uwanja wa Lake Tanganyika, mchezo huo umemalizika kwa Simba SC kupata ushindi wa 1-0 goli likifungwa na Sharaf Shiboub dakika ya 57 hivyo Shiboub ni kama amelipa kisasi.

VIDEO:AJIB BWANA MIPANGO !!! KAANZISHA MOVE NA KWENDA KUFUNGA

Soma na hizi

Tupia Comments