AyoTV

VIDEO: Kelvin John (Mbappe) kafunguka alichoambiwa na Samatta akiwa Ubelgiji

on

Pamoja na kuwa mashindano ya CECAFA U-20 yalimalizika kwa Tanzania kuwa Mabingwa, mchezaji wa Tanzania Kelvin John aliibuka mshindi wa tuzo mbili mchezaji bora wa mashindano na mfungaji bora, baada ya hapo Kelvin John alifunguka kuhusiana na Samatta alichomwambia baada ya kwenda Ubelgji.

Ubelgiji nilikuwa na Samatta na alikuwa ananipa maneno mengi ya kunipa morali wa kupambana, aliniambia nikirudi Tanzania nikiungana na timu lazima niwe mfungaji bora”>>>Kelvin John Baada ya ushindi wa tuzo ya mchezaji bora na ufungaji bora CECAFA U-20

VIDEO: Goli lililoipa Tanzania Ubingwa wa CECAFA U-20 dhidi ya Kenya

Soma na hizi

Tupia Comments