Michezo

PICHA 14: Kutoka Lubumbashi mazoezi ya mwisho ya Yanga kabla ya kucheza na TP Mazembe

on

August 22 2016 siku moja kabla ya mchezo wa mwisho wa Kundi A Kombe la shirikisho barani Afrika kati ya TP Mazembe dhidi ya klabu ya Dar es Salaam Young Africans ya Tanzania, Yanga walipata nafasi ya kufanya mazoezi katika uwanja watakaochezea mchezo wa kesho dhidi ya wenyeji wao TP Mazembe.

DSC_0184

Yanga imewasili Lubumbashi ikiwa na wachezaji 16 huku wakikosekana wachezaji wao nyota kama Donald Ngoma, Vincent Bossou, Malimi Busungu na Juma Abdul anayesumbuliwa na matatizo ya msuli huku nahodha wao Nadir Haroub Canavaro akiwa anasumbuliwa na nyonga.

DSC_0169

Mchezo wa mwisho wa Kundi A kati ya TP Mazembe dhidi ya Yanga utachezwa katika uwanja wa Stade de TP Mazembe wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 18000, huu ni uwanja unaomilikiwa na TP Mazembe, mchezo wa kesho August 23 utachezwa saa 14:30 kwa saa za hapa Congo ambapo kwa Tanzania itakuwa sawa 15:30.

DSC_0010

DSC_0083

DSC_0008

DSC_0070

DSC_0052

DSC_0045

DSC_0039

DSC_0013

DSC_0033

DSC_0012

DSC_0037

GOAL AND HIGHLIGHTS: YANGA VS TP MAZEMBE JUNE 28 2016, FULL TIME 0-1

Soma na hizi

Tupia Comments