Video Mpya

VideoMPYA: TID akiwa amemshirikisha D-Rush ametuletea ‘Unaniroga’ karibu uitazame

By

on

Ni mkongwe kutokea kwenye game ya muziki wa RnB TID amekuja na nyingine ya kukuburudisha akiwa amemshirikisha mrembo D-Rush wakikuambia ‘Unaniroga’ ikiwa imetayarishwa na Manecky, fanya kubonyeza PLAY hapa chini ujionee mwenyewe.

VIDEO: WAMACHINGA WAZUNGUMZIA KUHAMISHWA MWENGE, CHANGAMOTO ZA WALIPO HAMIA

Soma na hizi

Tupia Comments