Habari za Mastaa

Pichaz za Show ya kwanza ya Yamoto Band Dar Live baada ya kutoka Marekani, Kayumba wa BSS na Baby J ndani !!

on

Baada ya Yamoto Band kumaliza ziara ya Show zao za Marekani wamerudi Bongo na kwa mara ya kwanza baada ya kurudi Tanzania, wameamua kuanza kwa kudondosha burudani ya nguvu katika uwanja wa taifa wa burudani Dar Live Mbagala, Yamoto Band walipiga Show usiku wa December 19 huku wakipewa sapoti na mshindi wa BSS Kayumba pamoja na mrembo kutoka katika kiwanda cha Bongo Fleva Baby J. Hizi ni pichaz 16 za show yenyewe mtu wangu wa nguvu.

IMG-20151220-WA0013

IMG-20151220-WA0014 (1)

Mrembo Baby J akitoa burudani

IMG-20151220-WA0015

Kayumba wa BSS na dancers wake katika ubora wao

IMG-20151220-WA0016

Ikafika time ya Yamoto Band kufanya Show

IMG-20151220-WA0018

IMG-20151220-WA0019

Mtaalam wa kucheza kwa madoido Chiba akapanda katika Stage

IMG-20151220-WA0020

IMG-20151220-WA0021

IMG-20151220-WA0022

IMG-20151220-WA0024

IMG-20151220-WA0025

IMG-20151220-WA0026

IMG-20151220-WA0027

IMG-20151220-WA0028

IMG-20151220-WA0029

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments