Habari za Mastaa

Picha 10 za mzigo mzima Yamoto Band walivyokamata stage Geita usiku wa Christmas..

on

Sikukuu  ya Chrismass ni moja kati ya sikukuu zenye mvuto duniani kote, imekuwa kawaida kwa vijana na watu wa rika tofauti tofauti kusherehekea kwa namna yao ya kipekee.

Yamoto Band wakali wa hit single kadhaa ikiwemo kama ‘Cheza kwa Madoido’ wameachia single yao mpya Mama, ambayo inafanya vizuri kama nyimbo zao nyingine, waliamua kuanzia Geita ziara yao ya ‘Mama Tour kwa kuparty na watu wa Geita wakiwa na live band.

Nina pichaz 10 za show ya Yamoto Band walivyoikamata stage Geita.

IMG-20151226-WA0000

IMG-20151226-WA0001

IMG-20151226-WA0002

IMG-20151226-WA0003

IMG-20151226-WA0004

IMG-20151226-WA0005

IMG-20151226-WA0006

IMG-20151226-WA0007

IMG-20151226-WA0008

IMG-20151226-WA0009

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments