Habari za Mastaa

VIDEO: Majibu ya Mh Temba kuhusu wanaosema Yamoto Band wamepotea Bongo Flevani

on

Baada ya ukimya wa muda mrefu kutoka kwa Yamoto Band Ayo TV na Millardayo.com ilimtafuta kiongozi wa Yamoto Band ambaye pia ni Msanii kutokea Bongoflevani Mh Temba na amejibu kuhusu tetesi zinazoendelea za kuvunjika kwa kundi hilo .

Kingine alichozungumza ni kuhusu uhusiano wake na Juma Nature kwa sasa ukoje, je watakuja kufanya colabo?  vipi kuhusu TMK wanaume family?, vyote hivyo utavipata ukibonyesha play hapa chini

VIDEO: Uliiona hii ya  Yamoto Band Kujengewa nyumba? Bonyeza play hapa chini

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments