Habari za Mastaa

Hizi ni Picha 15 za uzinduzi wa single mpya ya Yamoto Band na Alichokisema Said Fela kuhusu show ya Uingereza

on

.

Yamoto Band wakipata picha ya pamoja kwenye Redcarpet.

Usiku wa Jan 4 ulikuwa ni usiku wa uzinduzi wa single mpya ya Yamoto Band iitwayo Ntakupwelepweta uliofanyika katika ukumbi wa Maisha Club Dar es Salaam.

Yamoto Band iliyo chini ya Mkubwa Fella imeuza mwaka 2015  vizuri wakiwa wanajiandaa kutumbuiza nchini Uingereza tarehe 21 Feb Meneja wa Yamoto, Said Fella akizungumza na Millardayo.com alisema ‘Kikubwa ni kwamba tumepata mwaliko  wa kwenda London tutawasili kule tarehe 19  lakini show ni tarehe21 kikubwa ni kwamba mashabiki wa kule wamependa kwasabababu ya madogo kupiga muziki wa live kwa hiyo  ningependa wasanii wa hapa nyumbani tushawishiane sisi kama sisi tupende muziki wa live kila mmoja kwasababu wateja  wetu  wa siku hizi wanataka muziki wa live’Alisema Mkubwa Fella.

Hizi ni baadhi ya picha za uzinduzi wa wimbo wao mpya Ntakupwelepweta

.

Yamoto Band wakiwa jukwaani.

 

 

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

 

.

.

.

.

.

.

.

(Kushoto) Madee,Julio na rafiki.

.

.

.

Muigizaji wa Filamu, Steve Nyerere akiwa na Babu Tale.

.

Wakata Mkaa Chege na Mh Temba.

Nakuhakikishia kwamba nitakufikishia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

 

Tupia Comments