AyoTV

Kutana na Tembo wanaocheza Disco, wanacheza gangnam style (video)

on

Screen Shot 2014-05-09 at 6.01.32 PMNi moja ya vile vitu ambavyo ndio unakutana navyo kwa mara ya kwanza kwenye maisha yako, vitu vinavyoweza kukufanya ubishe mpaka mwisho kwa sababu uwezekano huo hauuoni…. labda mtu angekwambia kuna Tembo wanacheza muziki ungekataa ila kwa sababu kuna video yao hapa, shuhudia mwenyewe.

Unapenda vitu kama hivi visikupite? ungana na mimi kwenye twitter kwa kubonyeza HAPA na instagram na facebook ili niwe nakutumia wakati wote kila kinachonifikia iwe usiku au mchana.

Tupia Comments