Michezo

List ya msafara wa Yanga utaokwenda kuikabili APR Kigali Rwanda klabu Bingwa Afrika

on

Klabu ya Dar Es Salaam Young Afrika March 12 itacheza mchezo wake wa kwanza wa raundi ya pili ya michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika utakaochezwa siku ya Jumamosi ya March 12 Kigali Rwanda. March 9 Yanga wametaja list ya majina ya wachezaji 20 na viongozi wengine watakaosafiri kwenda Rwanda kwa ajili ya mechi hiyo.

20160309_132234-1

Hii ndio list ya msafara wa Yanga utakaosafiri kwenda Kigali Rwanda March 10

Video fupi ya Jerry Muro akielezea ratiba yao

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments