Michezo

Yanga na Azam Media wasaini mkataba wa Bilioni 41

on

Club ya Yanga SC leo imeingia mkataba wa miaka 10 na Azam Media wa mashirikiano ya maudhui wenye thamani ya Tsh Bilioni 41 pamoja na VAT.

Mkataba huo umesainiwa leo na Mtendaji Mkuu Azam Media Tido Mhando na Mwenyekiti wa Yanga SC Dr Mshindo Msolla sasa Azam Media watakuwa na haki na maudhui yote yahusuyo Yanga.

Azam TV watakuwa wanarusha mechi za Yanga za nyumbani kimataifa, kirafiki, mazoezi na kadhalika ikiwemo tamasha la wiki ya Mwananchi.

Soma na hizi

Tupia Comments