Michezo

Yanga SC yafunga usajili kwa Mghana huyu

on

Club ya Yanga SC imemsajili Bernald Morrison raia wa Ghana, Morrison amewahi kucheza vilabu mbalimbali vikubwa Afrika kama DC Motema Pembe, AS Vita za Congo na Orlando Pirates ya Afrika Kusini.

Timu alizowahi kuzichezea

-DC Motema Pembe 2018 DRC

-Orlando Pirates 2016-2018 SA

-AS Vita 2015-2016 DRC

-Ashanti Gold FC 2013-2015 Ghana

-Hearts of Lions 2010-2013 Ghana

Soma na hizi

Tupia Comments