Michezo

Yanga wasiponitumia tiketi ya ndege wasinilaumu kitakachowapata (+video)

on

Shabiki wa Yanga aitwae Mangsuli Hussein aliepata umaarufu baada ya kutembea kwa miguu kutoka Kigoma hadi Dar es salaam kwa ajili ya kutaka kutazama mechi ya Simba vs Yanga na kutumia siku 22 amesema anasubiria kutumiwa ticket ya ndege aliyoahidiwa kwa ajili ya kurudi Dar kuitazama mechi hiyo ambayo iliahirishwa na sasa itachezwa July 3

Mangsuli ameupiga mkwara uongozi wa Timu yake ya Yanga kwamba kama wasipomtumia hiyo ticket kama walivyomuahidi kitakachowapata siku hiyo ni shauri yao kwani dawa ya Simba anayo ila ni lazima kwanza aletwe Dar.

Soma na hizi

Tupia Comments