Michezo

Yanga yapigwa faini kisa mechi na Simba SC

on

Kamati ya saa 72 ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF) imeipiga faini ya Tsh milioni 3 club ya Yanga SC kwa makosa kadhaa iliyotenda katika mchezo dhidi ya Simba SC.

Yanga wamepigwa faini hiyo kwa kosa la kuingia uwanjani kwa mageti ya sio rasmi wakati wa mchezo, Kutumia mlango wa Media Centre.
Makosa mengi ni kubadilishia nguo chumba cha wafanyia usafi, hata hivyo Yanga wameagizwa kulipa Tsh 850,000/= kama gharama za ukarabati wa mageti yaliovunjwa wakati wakiingia uwanjani.

Soma na hizi

Tupia Comments