Ad
Ad

Michezo

Hivi ndivyo Yanga walivyojiandaa kuikabili Mgambo Shooting Jumamosi ya Dec 12 (+Pichaz)

on

Ligi Kuu soka Tanzania bara inaendelea tena weekend ya December 12 baada ya kusimama kwa Ligi hiyo kwa zaidi ya wiki tatu, wakati Simba Sports Club wakiwa wameweka kambi visiwani Zanzibar kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wao dhidi ya Azam FC, watani zao wa jadi Dar Es Salaam Young Africans wameweka kambi Bagamoyo ili kujiandaa na mchezo dhidi ya Mgambo Shooting utakaochezwa jumamosi ya December 12 uwanja wa Mkwakwani Tanga.

DSC_0088

Yanga ambao walikuwa na wachezaji wao karibia wote kasoro Haruna Niyonzima, Donald Ngoma anayetajwa kuumia mkono mazoezi na nahodha wao Nadir Haroud hawakuwepo katika mazoezi ya December 8 uwanja wa Boko Veterani, Mtu wangu wa Nguvu naomba nikusogezee pichaz 10 za mazoezi ya Yanga ya December 8.

DSC_0006

DSC_0022

DSC_0041

DSC_0045

DSC_0046

DSC_0062

DSC_0072

DSC_0078

DSC_0086

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments