Michezo

Picha za hali ilivyo Uwanja wa Taifa Yanga Vs Azam FC, vikosi vya timu zote mbili

on

August 22 ni siku ambayo unapigwa mchezo wa ngao ya hisani mechi ambayo inazikutanisha timu za Yanga ambaye ni bingwa wa Ligi Kuu na mshindi wa nafasi ya pili Azam FC. Mchezo huu wa hisani ni ishara ya kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara.

2X6A1532

Yanga Vs Azam FC Line Up

DSC_0007

DSC_0016

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments