Michezo

Dakika Nne za maamuzi ya mwisho ya Yanga kuhusu Niyonzima…..(+Audio)

on

Leo Dec 28 2015 klabu ya Dar es salaam Young African  imetangaza kumsimamisha kwa muda usiojulikana mchezaji Haruna Niyonzima raia wa Rwanda, Hapa nakukutanisha na mkuu wa idara ya habari na mawasiliano Jerry Muro akielezea sababu za maamuzi hayo.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments