Michezo

Hiki ndio kikosi cha Yanga kinachoanza leo dhidi ya Al Ahly

on

e76dYanga1Mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda anayekipiga Yanga leo ataanza katika kikosi cha kwanza cha Yanga kinachojiandaa kukipiga na Nacional Al Alhly muda mfupi ujao katika dimba la uwanja wa taifa. Hata hivyo golikipa mkongwe Juma Kaseja amepigwa benchi leo na nafasi yake ameanza Deogratias Munish “Dida”.

KIKOSI KAMILI

1. Deogratias Munish “Dida” – 30
2. Mbuyu Twite – 6
3. Oscar Joshua – 4
4. Nadir Haroub “Cannavaro” – 23 (C)
5. Kelvin Yondani “Cotton” – 6
6. Frank Domayo “Chumvi” – 18
7. Saimon Msuva – 27
8. Haruna Niyonzima – 8
9. Emmanuel Okwi – 25
10. Mrisho Ngasa – 17
11. Hamisi Kizza – 20

Subs:
1. Juma Kaseja – 1
2. Juma Abdul – 12
3. David Luhende – 3
4. Athuman idd “Chuji” – 24
5. Hassan Dilunga – 26
6. Said Bahanuzi – 11
7. Didier Kavu

Tupia Comments