Top Stories

Yatazame hapa kwa urahisi matokeo ya Kidato cha Nne na cha Pili

on

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) nchini Tanzania limetangaza matokeo ya mtihani wa upimaji Darasa la nne, Kidato cha pili na Kidato cha nne.

Kwa urahisi unaweza kuyaona matokeo ya kidato cha NNE kwenye link iliyoandikwa ‘CSEE 2020’ >>> HAPA

Kwa urahisi unaweza kuyaona matokeo ya kidato cha PILI kwenye link iliyoandikwa ‘FTNA’ >>> HAPA

ALICHOZUNGUMZA MAALIM SEIF MBELE YA MAGUFULI NA MWINYI CHATO

 

Soma na hizi

Tupia Comments