Top Stories

Yatazame hapa kwa urahisi matokeo ya Kidato cha SITA

on

Baraza la mitihani la taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na Ualimu kwa mwaka 2021. Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Dkt Charles Msonde ametangaza matokeo hayo akiwa Zanzibar.

Kwa urahisi unaweza kuyaona matokeo ya kidato cha SITA kwenye link iliyoandikwa ‘ACSEE 2021′ >>> HAPA

MTANZANIA ALIESHIRIKI MAZISHI YA TB JOSHUA, MKEWE, KABURI LAKE, UMATI MAZIKONI

Soma na hizi

Tupia Comments