Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Hawa ndo wachezaji pekee aliokua akiwahofia ubingwa Yaya Toure
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
September 29, 2023
Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Hawa ndo wachezaji pekee aliokua akiwahofia ubingwa Yaya Toure
Sports

Hawa ndo wachezaji pekee aliokua akiwahofia ubingwa Yaya Toure

January 12, 2014
Share
2 Min Read
SHARE

yayaMara nyingi hutokea kwenye mashindano yoyote kuna mtu au watu utakua unawahofia pengine kulingana na viwango sawa vya uchezaji au wao kukuzidi maarifa kidogo,hiko ndicho kilichotokea kwa Nyota toka Manchester City mchezaji Yaya Toure ambaye ameshinda kwa mara ya tatu mfululizo tuzo ya mchezaji bora barani Afrika,ushindi ambao umekosolewa na maafisa wakuu wa soka nchini Nigeria.

Toure mwenye umri wa miaka 31 ambaye ni raia wa Cote d’Ivoire alishinda pia tuzo ya Shirikisho la Soka barani Afrika – CAF, mwaka wa 2011 na 2012 huku John Obi Mikel wa Nigeria ambaye anachezea klabu ya Chelsea ya Uingereza akichukua pili na nafasi ya tatu ikishikwa na Didier Drogba kutoka huko huko Cote d’Ivoire.

Hiki ndicho alichokizungumza Toure baada ya kutangazwa mshindi ‘Kwa kweli ilikuwa vigumu sana kushinda,kwa sababu kulikuwa na wapinzani wakali mbele yangu Obi Mikel na  Didier Drogba kwa hivyo nilidhani nitashindwa na sasa nimebahatika na nina furaha kwa mafanikio yangu Ninapenda kile ninachofanya’

Muda mfupi baada ya kutangazwa ushindi huo wa Toure Maafisa wakuu wa soka nchini Nigeria waliukosoa utaratibu uliotumiwa kumpata mshindi,Utaratibu uliotumika ni  wa Makocha wa timu 54 za mataifa wanachama wa CAF huwapigia kura wachezaji 10 wanaoteuliwa kwa mizani ya pointi moja hadi kumi, huku atakayepata pointi nyingi ndiye anayeondoka na  tuzo hiyo.

Toure alikusanya jumla ya pointi 373 na akapigiwa kura na makocha 28 na kumpa mchezaji huyo wa Manchester City ya Uingereza ushindi wa tatu mfululizo baada ya kunyakua taji hilo mwaka wa 2011 na 2013 huku Kiungo wa Chelsea Mikel, akiwa pili na jumla ya pointi 275.

You Might Also Like

Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

Update ya afya ya Christopher Nkunku aonesha video kutokea gym…

Man Utd wamethibitisha kurejea kwa Antony kwenye shughuli za kikosi cha kwanza

Nahodha wa Bayern Neuer arejea mazoezini miezi 10 baada ya kuvunjika mguu

Millard Ayo January 12, 2014
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Leo ni kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Next Article Namna ambavyo Snura alivyosherehekea siku yake ya kuzaliwa na watoto Yatima leo.
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
Sports September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
Top Stories September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
Top Stories September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
Entertainment September 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

September 29, 2023
Top Stories

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

September 29, 2023
Sports

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

September 29, 2023
Top Stories

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

September 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?