on air with millardayo

YCEE on air with Millardayo amemtaja msanii wa Tanzania anayemkubali

on

Rapper YCEE kutoka nchini Nigeria ambaye anazichukua headlines kwenye mdundo wake wa , ‘Omo alhajimdundo ambao umemshirikisha hitmaker wa mdundo wa ‘Bobo’ Olamide, YCEE yuko nchini  Tanzania anafanya Media Tour, na amemtaja msanii wa bongo anayemkubali kwenye interview ya On Air with Millardayo. 

Msanii huyu ameipa heshima na alitembelea TZA kwenye studio za Millard Ayo na kufanya Interview ambayo aliongelea short history yake tangu anze game, maana ya jina lake YCEE, anachofanya nje ya box yani nje ya sanaa ya muziki katika maisha ya kawaida na pia amemtaja msanii anaemkubali kutoka nyumbani Tanzania.

ULIKOSA KUIONA VIDEO YA JOHARI KUHUSU KUGOMBEA UBUNGO 2020? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments