on air with millardayo

Exclussive: YCEE kawataja wasanii wa Tanzania anaotamani kufanya nao collabo

on

Mkali anayemiliki mdundo wa  Omo Alhaji kutoka Nigeria Ycee amekutana OnAir with milllardayo ambapo alikuja kufanya media tour Tanzania na amewataja wasanii kutoka Bongoflevani  anaotamani kufanya nao collabo.

Napenda kufanya collabo na Diamond Platnumz ni kama sasa hivi ukija Nigeria lazima utake kufanya collabo na Wizkid, pia Alikiba, Vanessa Mdee na Navy Kenzo‘.>>>Ycee

Pia Ycee ametaja midundo ya Bongofleva inayosikaka kwa sana Nigeria>>>’Naweza kusema Diamond ni msanii mkubwa sana barani Africa ngoma zake nyingi sana zinapigwa  na zipata airtime sana  Nigeria

ULIMISS HII YA DIAMOND PLATNUMZ KUHUSU KUFANYA COLLABO MSANII WA KIKE TANZANIA ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI…

Soma na hizi

Tupia Comments