Habari za Mastaa

‘Ye’ aibuka na mask kwenye kikao chake na Mwanasheria mgahawani

on

Rapper Kanye West ambae kwasasa anatambulika kwa jina la Ye, ameendelea kujibebea vichwa vya habari ambapo leo ameonekana akiwa amevalia Mask.

Staa huyo alinaswa na waandishi wa habari hadharani akiwa kwenye kikao na Mwanasheria wa Donald Trump maarufu kama Michael Cohen.

NI siku chache tangu atangaze kubadili jina na kujiita Ye pamoja na mtindo wake mpya wa nywele.

.

.

.

.

Soma na hizi

Tupia Comments