Duniani

Yemi Alade wa Nigeria katisha… kaimba kiswahili kwenye huu wimbo mpya wa dakika 3

on

Yemi Alade ni mwimbaji kutoka Nigeria ambaye Afrika ilimtambua kwa uzito kupitia single yake ya ‘Johnny’ na baadae katuletea single nyingine mfululizo…. na sasa katuletea Na Gobe’ (Swahili Version), bonyeza play hapa chini kuisikiliza alafu sio mbaya kama ukiniachia na comment yako kusema umeionaje ili akipita ajue fans wake wanasemaje upande huu.

Hii hapa chini ni video ya Na Gobe lakini sio version ya Kiswahili yuko na Selebobo.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments