Habari za Mastaa

#New: Kanye West anaisogeza rasmi single yake mpya; ‘No More Parties In LA’ feat. Kendrick Lamar! – (Audio).

on

Yamepita masaa saba tu toka staa wa muziki wa HipHop kutoka Marekani, Kanye West atangaze kuachia single yake mpya ‘No More Parties In LA’ na King of Compton City, Kendrick Lamar, single itakayopatikana kwenye album mpya ya Kanye, SWISH.

LamarYe2

Good news kwako mtu wangu, kama wewe ni shabiki wa muziki wa Kanye West na pia kama ni mfuatiliaji mzuri wa ngoma za Kendrick Lamar basi ipokee collabo mpya ya Kanye na Kendrick kwenye hizi dakika 6 za ‘No More Parties in LA hapa chini!

LamarYe

Kuinasa moja kwa moja bonyeza play hapa chini mtu wangu!

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments