Habari za Mastaa

Ni FurahiDay na Yemi Alade anayo furaha ya kukuletea video ya pili ya: Pose (Dance Cover Version)!

on

pose

Msanii kutoka kwenye lebo ya Effyzzie Music, Yemi Alade amedondosha video ya pili ya wimbo wa Pose ndani ameshirikishwa Mugeez msanii kutoka Nigeria. Producer aliesimamia video hii anaitwa Paul Gambit.

Hii ni version ya pili ya wimbo huu na kama wewe ni mpenzi wa kujifunza zile steps za kucheza ngoma za Kinigeria, Yemi Alade amekuraisishia kazi ndani ya hii video.

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook naInstagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments