Habari za Mastaa

Kwenye playlist yako Christmas hii unaweza kuiongeza na hii ya mrembo Yemi Alade- ‘Do As I Do’ (+Audio)

on

Staa wa muziki kutoka Nigeria, Yemi Alade amerudi kuziweka headlines kwenye kurasa za burudani na ujio wa single mpya kutoka kwenye album yake, Mama Africa mpya inayotegemea kuwa mtaani very soon.

Wimbo unaitwa Do As I Do na official audio ya single hiyo mpya ipo hewani tayari. Feature ya wimbo huu mpya imesimamiwa na staa kutoka Ivory Coast , DJ Arafat.

yemi

Do As I Do ni miondoko ya Afro-Pop na Coupe-Decale na producer wa wimbo huo ni Selebobo.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments