Habari za Mastaa

Lulu Diva alivyowaandalia Watoto yatima Iftar, atoa msaada (+video)

on

Msanii Lulu Diva ameungana na Watoto wenye uhitaji Mtaani pamoja na Watoto yatima na kuamua kuwafuturisha ikiwa mwezi Mtukufu Ramadhan pia ametoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo sabuni, madaftari, mafuta n.k

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama alichokiongea Lulu Diva.

VIDEO: CHUCHU “SIWEZI KUZAA TENA, RAY KIGOSI, SIZANI, NIMEMPONGEZA MABABY WAKE WAKUBWA MPAKA WADOGO”

Soma na hizi

Tupia Comments