AyoTV

VIDEO: Jux kayaongea ya moyoni kuhusu EX wake Jack Cliff

on

December 2013 zilitoka stori kwamba Mtanzania Jackie Cliff ambae ni mrembo aliekuwa na uhusiano na msanii wa Bongo Fleva Jux  amekamatwa na dawa za kulevya huko China.

Sasa najua ni muda mrefu sana mpaka Jux kuingia kwenye headlines zingine za kuwa na uhusiano na Vanessa Mdee lakini hapa ameipa heshima Ayo TV na millardayo.com kuhusu kuzungumza machache ya EX wake Jack Cliff.

‘Kiukweli nipo kwenye maisha mengine mahusiano mengine uwa najaribu kuuliza kwa watu wake wa karibu ebhana vipi umeongea na fulani hivyo yaani, nisiongee uongo imepita muda kidogo sijapata kuwasiliana nae kwahiyo watu ambao ninakutana nao wananiambia yuko sawa na anaendelea vizuri’– Jux

ULIIKOSA HII YA MAYUNGA KUHUSU LABEL YAKE MPYA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments