Ad

AyoTV

“Tumuombee Rais Magufuli maana sisi ndio tuliomuajiri…” – Matiko

on

Mbunge wa Tarime Mjini Ester Matiko amerejea Jimboni kwake na kufanya mkutano wa hadhara na miongoni mwa mambo aliyozunguma mbele ya Wananchi ni pamoja na ishu ya kukamatwa kwa Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya.

Aidha, Matiko alizungumzia pia suala la maendeleo ya Jimbo hilo akisema ndani ya miezi mitano ametumia kiasi cha Tsh. Milioni 16 ikiwa ni kutoka katika mfuko wake kwa ajili ya kuhakikisha anawasaidia wananchi waliompa ridhaa kuwawakilisha Bungeni.

CHADEMA imethibitisha Ester Bulaya kukamatwa na Polisi…play hapa chini!!!

Polisi Tarime yatumia risasi za moto kumdhibiti aliyevamia Bank…tazama hapa chini kwenye hii video!!!

Soma na hizi

Tupia Comments