Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

PICHA: Kutoka Nigeria Tiwa Savage ndani ya +254 Kenya

on

Superstar Tiwa Savage ametua nchini Kenya asubuhi ya leo September 14,2018 kutokea Nigeria kwa ajili ya kutoa sapoti katika uzinduzi wa album mpya ya mkali wa dancehall Redsan inayoitwa ‘The Baddest ‘.

Tiwa Savage anatarajiwa kutumbuiza kwenye hafla hiyo katika viwanja vya Carnivore mjini Nairobi siku ya Jumamosi September 15,2018 ili kukamilisha uzinduzi wa album hiyo ya “The Baddest”.

Unaambiwa uzinduzi huo utahusisha Mastaa wakali ambao watakuwa kwenye stage moja na Tiwa Savage kama Khaligraph Jones na Demarco kutokea Jamaica .

Msanii Redsan akiwa na Tiwa Savage

Mkenya aliyekesha na Barnaba Studio kaelezea haya

Soma na hizi

Tupia Comments