Video Mpya

VideoMPYA: Hii ni nyingine ya kuipokea “Say Bye Bye” Ycee ft Eugy

on

Nakusogezea nyingine ya kuitazama kutoka kwa staa wa muziki Ycee kutokea Nigeria ambapo kakulutea video mpya ya “Say Bye Bye” akiwa kamshirikisha Eugy kwenye wimbo huo. Bonyeza PLAY kuitazama ngoma hiyo.

Riyama ‘Uwoya shikilia hapo hapo, nimtafute Mzee anifie’

Soma na hizi

Tupia Comments