Habari za Mastaa

Utani wa Joti kuhusu video ya Askofu | Alikiba afufua majonzi kuhusu Ruge

on

Stori kubwa ambayo imechukua headlines wiki hii ni kuhusu video clip ya ngono iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha Askofu Gwajima akiwa faragha na mwanamke ambaye hadi sasa hajafahamika. Mchekeshaji Joti amefanya utani kuhusiana na hicho kilichomuhusu Askofu.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Mwanzo Mwisho.

BREAKING: ASKOFU GWAJIMA AKIZUNGUMZA KUHUSU VIDEO YA FARAGHA INAYODAIWA KUWA YAKE

Soma na hizi

Tupia Comments