Habari za Mastaa

Vanessa aumizwa na hali ya Ruge/ biashara ya viatu vyake

By

on

Mwimbaji Vanessa Mdee amefunguka kuhusiana na viatu vyake alivyoviingiza sokoni hivi karibuni kuuzika kwa baraka zaidi na pia amegusia ishu ya Ruge Mutahaba ambaye yupo Afrika Kusini kwaajili ya matibabu.

Bonyeza PLAY kutazama alichokizungumza Vanessa Mdee.

MAPYA YAIBUKA!! Dogo Janja kuhusu mpenzi mpya, kampiga chini Uwoya?

Soma na hizi

Tupia Comments