Habari za Mastaa

Picha 3 za show ya Yamoto BAND Washington DC Marekani

on

Yamoto Band walisafiri kwenda Marekani kwa ajili ya shows kwenye miji mbalimbali na kukutana na Watanzania waishio Marekani ambao kwa kiasi kikubwa wamekua na kiu ya kuwaona kwenye stage Yamoto ambao ndio mara yao ya kwanza Marekani na hizi picha kwenye hii post ni za show yao ya Washington DC.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA  WWW.DMK411.BLOGSPOT.COM
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitter,FBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments