Habari za Mastaa

Pichaz za msaada walioutoa Yamoto Band na Tmk Wanaume Family.

By

on

3flYamoto Band chini ya Mkubwa na wanawe Youth Centre Jumapili ya Sept 21 walijitambulisha rasmi kwa mashabiki wao,utambulisho ambao waliufanya kwenye ukumbi wa Darlive uliopo Mbagala.

Miongoni mwa Show ambazo zimetajwa kuwa na wahudhuriaji wengi kwenye ukumbi wa Dar Live ni pamoja na show hii ambayo ilikuwa na mkusanyiko wa watu wa aina mbalimbali.

Katika kutoa shukrani zao kwa mashabiki waliojitokeza TMK Wanaume pamoja na Yamoto Band wameamua kutembelea Temeke Hospital katika ward ya watoto na kutoa msaada wa vifaa,vyakula na vitu mbalimbali kama mahitaji muhimu kwao.

Said Fela ambaye ni kiongozi wa Yamoto Band amesema>>’Tumeamua kuanza na watoto maana mimi ni mzazi na hata mke wangu anajifunguliaga hapa pia mimi nilikua mtoto na katika show yetu’

‘pengine wazazi waliopo hapa walipenda kufika lakini kutokana na kuuguza wakashindwa kufika, na hii hatutofanya wilaya hii tu tukipata kingine kidogo basi tutapeleka na kwingine na hii isiwe sisi tumefunga milango wajitokeze na wengine kusaidia’.

Hizi ni baadhi ya picha hizo.

1fl

2fl

4fl

5fl

6fl

7fl

8fl

9fl

10fl

17fl

11fl

12fl

20fl

19fl

13fl

14fl

21fl

22fl

16fl

23fl

Tupia Comments