AyoTV

VIDEO: Sababu iliyomfanya Samatta aanze kutumia viatu vya Nike na kuviacha vya Adidas

on

November 15 2016 mshambuliaji wa KRC Genk na timu ya Tanzania Mbwana Samatta ameweka wazi kwanini hapendi kutumia viatu vya Adidas licha ya kuwa aliwahi kuvitumia zamani, Samatta aliwahi kusikika akisema kuwa Adidas wanataka kuingia mkataba nae wa udhamini kwa kuwa wanamvalisha viatu vyao lakini Samatta sio mpenzi wa viatu vya Adidas, so wakala wake akatuma maombi kwa Nike.

“Kuna kipindi Adidas walikuwa wanatoa viatu vizuri na nilikuwa navitumia kabla zijaanza kutumia Nike, lakini nilivyokuwa Kongo kulikuwa hakuna viatu first quality hadi niagize Afrika Kusini sasa niliyekuwa namtuma akawa ananiletea Nike anasema Adidas amekosa hivyo nikaanza kutumia Nike kurudi kwenye Adidas inanipa shida”

ALL GOALS: ZIMBABWE VS TANZANIA NOVEMBER 13 2016, FULL TIME 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments