AyoTV

Unaambiwa huu ndio wimbo wa kwanza wa Young Killer time hizo akijiita Lil’ K.

By

on

Screen Shot 2014-05-10 at 5.43.52 PMIngawa maisha yanakua na historia ndefu sana na pengine kama ukiwa umefanikiwa kwa kiasi fulani mtu wangu wa nguvu unaweza hata kushangaa ukicheki ulipotokea,hapa kuna video ya Super Nyota wa 2012 Young Killer lakini kwa kipindi hicho alikuwa anatumia jina la Lil K.

Kingine kwenye hii video ni msanii mwingine ambaye kwa sasa ni miongoni mwa wasanii wanaotajwa sana kwenye muziki wa Bongo fleva Barakah Da Prince lakini kwa kipindi hicho alikua anatumia Dogo Baraka.

Young Killer mwenyewe anasema hii video aliifanya mwaka 2007……………. ukisikiliza mashairi na flow ya Young Killer miaka hiyo na sasa unaona tofauti yoyote? niandikie kwenye comment hapa chini mtu wangu
https://www.youtube.com/watch?v=jcw8JH8Wx5M#t=70

Unataka stori kama hizi zisikupite? kazi yangu ni kuhakikisha haupitwi na chochote… jiunge nami kwenye twitter kwa kubonyeza HAPA pia facebook na instagram ili nikutumie kila kinachonifikia iwe usiku au mchana.

Tupia Comments