AyoTV

Video ya magoli ya Yanga Vs Cercle de Joachim ya Mauritius, Full Time 2-0

on

February 27 2016 kwenye uwanja wa Taifa Dar Es Salaam Yanga ilicheza game ya pili ya marudiano kwenye kombe la klabu Bingwa Afrika dhidi ya Cercle de Joachim ya Mauritius ambapo mpaka mwisho, Yanga ikafanikiwa kuchukua ushindi wa goli 2-0, magoli yalifungwa na Amissi Tambwe na Thabani Kamusoko.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments