Mix

VIDEO: Taasisi za kitanzania zapata tuzo ya kimataifa ya utoaji huduma za viwango

on

Kampuni ya kitanzania ya Yono Auction Mart na mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania ‘TCCA’ zimepata tuzo Tuzo ya kimataifa ya utoaji huduma za viwango vinavyokidhi ubora wa kimataifa ya Diamond Eye awards ambazo zilizotolewa Rome Italy.

Yono Auction Mart imeshinda tuzo hiyo baada ya kushinda vigezo vya ubora na ufanisi vilivyowekwa na waandaaji wa tuzo hizo  ambao ni Association otherwise management and Consulting ya Paris France.

Katika sekta ya usafiri wa anga zaidi ya taasisi 600 zilishiriki ambapo taasisi 35 zilishinda pamoja na mambo mengine waandaji walikuwa wanaangalia mifumo inayohakikisha taasisi inatoa huduma zenye ubora na jinsi uongozi ulivyodhamiria kwenye masuala ya huduma zenye ubora.

Unaweza kuangalia video hii hapa chini

ULIKOSA HII YA MTANZANIA WA KWANZA KUPATA TUZO YA HESHIMA YA VIONGOZI WA KESHO? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments