Habari za Mastaa

Linex nae kaweka nia ya kugombea ubunge,kwa kupitia chama hiki.

on

mjedaBaadhi ya Mastar wa Tanzania wameamua kuweka wazi nia zao za kugombea nafasi za uongozi katika ngazi mbalimbali,miongoni mwa watu hao kwa sasa ni msanii kutoka Kigoma All Stars anaitwa Linex Mjeda.

Amekua wazi kutaja chama ambacho anategemea kugombania nafasi yake ya ubunge aliyosema kuwa tayari ana jimbo anasubiri muda tu na chama alichosema anategemea kugombea ni chama kipya cha ACT.

Soudy Brown amemuuliza maswali mengi ikiwemo kama kweli ana kadi ya chama,sikiliza alichojibu hapa.

104.4 Clouds fm inasikika ukiwa Dodoma.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments