Habari za Mastaa

T.I.D mezani kwa Soudy Brown, ni kuhusu Tatoo yake ya jina la kike kifuani

By

on

Screen Shot 2014-08-21 at 11.14.11 AMStori ambazo zimezungumzika sana ambazo zinahusu Tatoo zilikua ni kuhusu Nuh Mziwanda kujichora tatoo yenye jina la mpenzi wake Shilole ambayo iliandikwa Shishi Baby lakini time hii Soudy Brown kupitia You heard ya Aug 20 ameamplify taarifa ya T.I.D kujichora tatoo yenye jina la kike, Tid kapatikana na kuzungumza na Soudy Brown.

Ni kuhusu T.I.D kuandika Tatoo yenye jina la ‘Mahija’ ambapo alipoulizwa amejibu kwamba Tatoo hiyo ni jina la mama yake mzazi ambapo alipoulizwa kama ni Tatoo ya mpenzi wake akajibu hiyo mimi siwezi kuielezea ila ipo siku itajulikana’

Bonyeza play kusikiliza.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu na niko tayari kukutumia wakati wowote iwe usiku au mchana iwapo utakua umejiunga na mimi kwa kubonyeza hapa >>> twitter Insta FB

Tupia Comments