Habari za Mastaa

Namna utapeli wa kutumia majina ya watu unavyotumika,msikilize Godzila feki akimtapeli mtu.

on

Screen Shot 2014-08-27 at 9.53.11 PMMara chache zinapotoka stori za mtu kutaperiwa na mtu akidhani labda ni star fulani alikua akiwasiliana nae kiasi hadi cha kumuamini na kumtumia pesa lakini anapotuma pesa anashangaa kuona mtu huyo anavyobadilika.

Watu wa namna hii wanapopata wanachokitaka huwa wanazima simu au hawapokei kabisa,sasa kwenye meza ya Soudy Brown kuna msanii mchanga kataperiwa na Godzilla ‘feki’ kwa kumtaka amtumie kiasi fulani cha pesa kisha wafanye colabo.

96.0 Clouds Fm inasikika ukiwa Tanga.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments