Habari za Mastaa

Umesikia alichokisema mtu anayesemakana kuwa mganga wa AT?sikiliza hapa.

By

on

You-heard21Baadhi ya wasanii wa Bongo fleva wamekua na tuhuma za kuwatumia Waganga mbalimbali wa kienyeji,huyu anasemekana ni Mganga aliekua anamshughulikia muimbaji wa muziki wa Mduara AT ambae aliwahi kuwa kundi la Offside Trick,sikiliza kupitia 104.4 Clouds Fm Dodoma.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments